Usisahau kupakua Maombi App na ku subscribe haps Youtube.
Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts
USHINDI HATIMAYE | ALL SERMONS DAVID MMBAGA & PAUL SEMBA
Katika maisha haya,kuna tabia za ajabu ambazo wengi zimewazuia wasisonge
mbele kiroho na kimaisha. Wakati mwingine unazifanya kwa kujua au
kutokujua. Sikiliza na Tazama somo hili.
Usisahau kupakua Maombi App na ku subscribe haps Youtube.
Usisahau kupakua Maombi App na ku subscribe haps Youtube.
Ni toleo jipya toka kwa THE CHEN wakitokea Arusha, barikiwa na Audio Acapella hii…..
Waimbaji wa The Chen walianza wakiwa wanne yaani Elifuraha Msese, Joseph Senguo, Esther Meda na Rebeca Mtinga na huku muhasisi wa kikundi alikuwa Elifuraha Msese.
Elifuraha Msese alipata wazo hili la kuanzisha kikundi mara baada ya kufikiria kufanya kitu cha tofauti katika mziki wa injili kwa mtindo wa akapella yaani uimbaji usiotumia ala na ndipo alikutana na wenzake hawa ambao alisoma nao.
Barikiwa na wimbo wao wa NJOONI KWANGU

VIDEO MPYA YA WIMBO WA FAMILY MUSIC ILIYOREKODIWA NA JCB STUDIOZ
Miongoni mwa santuri mwonekano inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa Muziki wa Injili wa Kiadventista nchini Tanzania ni santuri mwonekano ya waimbaji wa Family Music toka Dar es salaam Tanzania iliyorekodiwa na JCB Studioz chini ya Mtayarishaji wa Video wa Studio hizo zilizopo Tegeta,Dar es salaam Moses Romeo.
Wimbo wa Sifa zako nitaimba ni miongoni mwa nyimbo zitakazobebwa na Santuri hiyo,wimbo huo umerekodiwa juu ya miongoni mwa majengo marefu jijini Dar es salaam ambalo ni Hoteli ya Holiday Inn ambapo pia waimbaji wa Sonda ya Dihlu walirekodi wimbo mmoja kwenye jengo hilo.

VIDEO:UTAKACHO KISHUHUDIA KATIKA SANTURI MWONEKANO NAMBA 3 YA THE LIGHT BEARERS
Waimbaji hao walitumia fursa hiyo kurekodi video za nyimbo ambazo zitakuwa katika Santuri mwonekano namba tatu iitwayo Mzabibu wa kweli ambayo imetayarishwa na kuongozwa na Tegemea Champanda mtayarishaji wa Audio Visual Studio.
Miongoni mwa Nyimbo zinazotarajiwa kuwemo katika toleo hilo ni Mungu Kimbilio ambao mtararishaji na Mwongozaji amejaribu kuonesha maeneo mbalimbali ya Uingereza ambayo waimbaji wa The Light Bearers waliyatembelea na kutoa huduma mbalimbali za Uimbaji nchini Uingereza.

DAR ES SALAAM:MWALIMU FELIX MAKACHAYO AZUNGUMZIA WIMBO WAKE MPYA WA TUFANYE KAZI
mtunzi,mwalimu na wa nyimbo za Injili ameeleza sababu za yeye kutunga wimbo wa kufanyakazi,Wimbo ulioimbwa na waimbaji wa Amani na Upendo ambao anawafundisha.
Video ya wimbo huo iliyofanywa na JCB Studioz ilifanywa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni miongoni mwa nyimbo tano ambazo zinagusia masuala ya kijamii nchini Tanzania.
Video ya wimbo huo iliyofanywa na JCB Studioz ilifanywa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni miongoni mwa nyimbo tano ambazo zinagusia masuala ya kijamii nchini Tanzania.
VIDEO YA MPYA YA KWAYA YA VIJANA NYARUGUSU TANZANIA HII HAPA
Juni
16 mwaka huu,kwa mara ya kwanza JCB Studioz kupitia channel yao ya
Youtube wamesambaza video mpya ya wimbo wa Mji Mtakatifu ulioibwa na
Kwaya ya Vijana ya Nyarugusu,Geita nchini Tanzania.
Santuri mwonekano ya kwaya hiyo iitakayoitwa Amri Kumi inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa nyimbo za Injili baada ya kwaya hiyo kuimba kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa Ushindi Hatimaye uliokuwa ukirushwa mubashara na Morning Star Radio na Morning Star Tv tokea Mabatini jijini Mwanza ambapo kwaya zaidi ya 120 zilihudumu.
Toleo hilo lenye nyimbo tisa ambazo video yake ilifanyika katika maeneo mbalimbali huko Nyarugusu ,Geita pamoja na Geita Mjini ikionesha baadhi ya sehemu za Ziwa Victoria ambalo ni miongoni mwa maziwa makubwa duniani.
Akizungumza akiwa jijini Nairobi nchini Kenya hii leo Moses Romeo ambaye ndiye mwongozaji na mtayarishaji wa video hiyo amesema kwa sasa yuko katika hatua za mwisho za kukamilisha santuri hiyo mwonekano.
The Light Bearers - MZABIBU WA KWELI
ONOTHER SONG FOR The Light Bearers | Pokea Sifa
Huu ni moja ya nyimbo nizipendazo sana toka katika album ya waimbaji wa The Light Bearers tokea Tanzania kwa jina la INUA MACHO. Wimbo wa POKEA SIFA ni wimnbo wa tano kati ya nyimbo 10 zilizo katika album hiyo.
Natumai hata wewe utaupenda wimbo huu.
***
This song is one of my favorites from the latest album namely INUA MACHO by The Light Bearers from Tanzania. The album title simply means Lift Up Your Eyes.
For full translations access the closed captions in both Swahili and English languages. The DVD contains 10 songs just for you.
I hope you have fantastic moment while listening to this artefact.
SIKILIZA AUDIO AMBAYO VIDEO YAKE ITAFANYIKA OCTOBA 30, 2016
kubadilishana uzoefu wa tasnia ya uimbaji ikiwemo kutumia mitandao ya kijamii, kufahamu namna ya kutumia vyombo vya muziki, pia kufahamu ya kuwa muziki ni kazi, namna ya kujua video nzuri ni zipi na kujua mengine mengi juu ya tukio hili linafanyika mapema asubuhi ya leo, msikilize mratibu wa tukio Mr Martin Ngussa alipokuwa ndani ya studio za Shua Media.
VUMBUA VIPAWA VYAKO- Episode #01- The Light Bearers
Welcome to a series of 'VUMBUA VIPAWA VYAKO' (Explore your spiritual gifts) by The Light Bearers from Tanzania. These are swahili gospel musicians taking their music ministry to another level all together.
IMBA KWA AKILI MSIMU WA PILI NI JUMAPILI HII, ZAMU HII IMEFIKA HADI GAZETINI NA TUTARAJIE MENGI MAZURI
KAMA HUKUTAPA KUONA MSIMU WA KWANZA WA IMBA KWA AKILI, PATA KUONA VIDEO HII HAPA.
Wimbo wa pamoja nao ulikuwa ni sehemu ya kuimarisha umoja wa vikundi vya uimbaji kwa tukio la jana, wimbo huu uliotungwa na Mwalimu Elisha uliweza kufundwa kwa waimbaji chini ya mwalimu Denis na Mwalimu Elisha wote ni waimbaji toka kikundi cha Light Bearers.

ACACIA SINGERS, BORN TO PRAISE & THE HEALING VOICE KUFANYA PICNIC YA PAMOJA KESHO SEPTEMBA 4, 2016
![]() |
| Waimbaji toka kikundi cha The Healing Voice |
![]() |
| Waimbaji toka kikundi cha Born to Praise |
![]() |
| Waimbaji toka kikundi cha Acacia Singers |
Mratibu wa huduma toka kikundi cha The Healing Voice ameongea na injilileo Blog na kusema siku hiyo itakuwa maalum kwa ajili ya kupeana uzoefu katika huduma ya uimbaji na pia michezo mbalimbali kama kukimbia na yai kwenye kijiko, kukimbia ndani ya gunia, mpira wa miguu na kuzaja maji kwenye chupa kwa kutumia kijiko yote hii itakuwepo katika kufanya umoja wa vikundi hivi kuimarika.
VIDEO: KWAYA YA FAMILIA YA INJILI TOKA KONGO WAMEFANYA KIPANDE HIKI CHA VIDEO YA WIMBO "SONGA MBELE" WALIOUFANYIA NCHINI TANZANIA
Waimbaji toka nchi DRC Congo wakijulikana kwa jina la Familia ya Injili wamepata fursa ya kutembelea nchini ya Tanzania ambapo pamoja na mambo mengine wameweza kufanya kipande cha wimbo SONGA MBELE na kazi ikifanywa na wataalam toka nchini Kenya wa Studio ya Msanii Records.
VIDEO: TAZAMA SEHEMU YA WIMBO ULIOFANYWA NA WAIMBAJI TOKA KWAYA YA "IMBA KWA AKILI" ILIANZISHWA SIKU YA JANA KATIKA UFUKWE WA MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM
Wimbo wa pamoja nao ulikuwa ni sehemu ya kuimarisha umoja wa vikundi vya uimbaji kwa tukio la jana, wimbo huu uliotungwa na Mwalimu Elisha uliweza kufundwa kwa waimbaji chini ya mwalimu Denis na Mwalimu Elisha wote ni waimbaji toka kikundi cha Light Bearers.
"VIJANA WAMEPOKEA MPANGO WA GTTK (GIVE THEM THE KEY) KWA HALI KUU"- MCHUNGAJI SUMWA
Mkurugenzi wa huduma za Vijana, Mziki na chaplensia kwa konferensi ya mashariki kati mwa Tanzania kwa kanisa la Waadventista wa Sabato Mchungaji Emmanuel Sumwa ameyasema hapo jana Agosti 27, 2016 katika viwanja vya kanisa la Mikocheni, alisema mbali na changamoto zote, vijana walijitoa kwa kazi ya Mungu na makanisa mengine yakitoa ahadi ya kushiriki mpango huu kwenye makanisa yao.
Mpango huu wa kuwapa vijana ufunguo uliotoka ngazi ya GC umefanyika kwa wiki mbili na umeleta matokeo chanya na watu wakimpokea Bwana kwa njia ya ubatizo.
Taarifa za ubatizo kwenye hitimisho la mkutano wa mpango wa GTTK ni kama ifuatavyo;-
1. Mwenge (Kiaraka)- 20
2. Mikocheni - 13
3. Mwambisi- 12
4. Mabwe Pande- 9
5. Mwananyamala- 9
6. Chuo Kikuu- 2

Subscribe to:
Posts (Atom)