IMBA KWA AKILI MSIMU WA PILI NI JUMAPILI HII, ZAMU HII IMEFIKA HADI GAZETINI NA TUTARAJIE MENGI MAZURI



 KAMA HUKUTAPA KUONA MSIMU WA KWANZA WA IMBA KWA AKILI, PATA KUONA VIDEO HII HAPA.
Wimbo wa pamoja nao ulikuwa ni sehemu ya kuimarisha umoja wa vikundi vya uimbaji kwa tukio la jana, wimbo huu uliotungwa na Mwalimu Elisha uliweza kufundwa kwa waimbaji chini ya mwalimu Denis na Mwalimu Elisha wote ni waimbaji toka kikundi cha Light Bearers. 

No comments:

Post a Comment