KUTOKANA NA MADA YA KUTOKUNYWA CHAI MARA TU BAADA YA KULA CHAKULA, DR MACHIBYA AMEJIBU MASWALI YA NI AINA GANI YA CHAI NA VIPI KUHUSU MAZIWA KUTUMIKA KAMA CHAI


Na mwandishi wako Kisaka mhina
vijana waadventista wasabato Kimanga jana pamoja na Mabalozi Temeke, Mabalozi Yombo,Vijana kutoka Mlimani,Family Music,Gethemani Pamoja na Heven heritage waliweza kujihudhurisha mbele ya Mungu  kwa Mfungo na Maombi pamoja navijana  walio alikwa kutoka sehemu mbali mbali nje na ndfani ya mtaa wa Kimanga na Mwisho waliweza kuandaa futari ya pamoja
Kwaya ya Vijana Mlimani wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 
Kwaya ya Mabalozi kutoka Yombo wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga
Kikundi kutoka katika kanisa la wasabato Changombe wakiimba kwenye mfungo uliondaliwa na Idara ya Vijana Kimanga
Kwaya ya Mabalozi kutoka Temeke wakiwa katika huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 
 Kikundi cha The herose kikitoa  huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista wasabato kimanga 

 Kikundi cha Family Music kikitoa  huduma ya uimbaji kwenye mfungo ulioandaliwa na kanisa la waadventista  wasabato kimanga


You might also like:

No comments:

Post a Comment