ACACIA SINGERS, BORN TO PRAISE & THE HEALING VOICE KUFANYA PICNIC YA PAMOJA KESHO SEPTEMBA 4, 2016

Waimbaji toka kikundi cha The Healing Voice
Waimbaji toka kikundi cha Born to Praise
Waimbaji toka kikundi cha Acacia Singers

Mratibu wa huduma toka kikundi cha The Healing Voice ameongea na injilileo Blog na kusema siku hiyo itakuwa maalum kwa ajili ya kupeana uzoefu katika huduma ya uimbaji na pia michezo mbalimbali kama kukimbia na yai kwenye kijiko, kukimbia ndani ya gunia, mpira wa miguu na kuzaja maji kwenye chupa kwa kutumia kijiko yote hii itakuwepo katika kufanya umoja wa vikundi hivi kuimarika. 

No comments:

Post a Comment