WAUMINI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO JIMBO LA MASHARIKI KATI MWA TANZANIA OCTOBA 15 WATAFANYA CHANGIZO LA SADAKA YA UJENZI WA CHUO CHA UDAKTARI CHA DIVISHENI YA MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA (ECD)

Siku ya jumamosi ya tarehe 15 Octoba,2016 itakuwa ni siku maalum ya kutoa sadaka ya ujenzi wa chuo cha udakitari kinacholikiwa na kanisa la Waadventista wa Sabato kwa upande wa divisheni ya Mashariki na kati mwa Tanzania kilichopo nchini Rwanda.
Akiongea katika Santuri muonekano ya tangazo la changizo hilo, Mwenyekiti wa jimbo la mashariki kati mwa Tanzania Mchungaji Joseph Mgwabi amesema kila muumini anahitajika kutoa kuanzia Tsh 5000 ili kuweza kufanikisha jambo hili.
" TOA SADAKA YAKO, SHIRIKI BARAKA ZA BWANA"

No comments:

Post a Comment