WAUMINI WA KANISA WAADVENTISTA WASABATO KIMARA NAO WASHIRIKI MAPEMA LEO KATIKA ZOEZI LA KUTOA NA KUCHANGIA DAMU


Mapema leo katika moja ya zoezi muhimu baada ya taratibu za ibada ilikuwa ni kufanya matendo ya huruma kama vile injilileo blog ilivyokuwa ikihabarisha, Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kimara mapema leo walikwenda katika huduma ya kuchangia damu ndani ya viwanja vya kanisa la Mwenge sda.
Mungu awabariki kwani huduma hii inakwenda kuwasaidia ndugu zetu wengi waliowahitaji.











No comments:

Post a Comment