VIDEO: UCHANGIAJI WA DAMU NI MOJA YA MATENDO YA HURUMA, WASHIRIKI WA KIMARA SDA NAO WACHANGIA DAMU

Huduma ya uchangiaji ni sehemu muhim sana katika uinjilisti kwani damu hii inakwenda kusaidia wagonjwa na waliopungukiwa na damu, pamoja na kwamba damu hii sehemu zingine wanauza lakini washiriki wa Kanisa la Waadventista wa Sabato duniani kote walileta mpango wa huduma hii ambapo jana ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na hapa mshiriki wa Kanisa la Kimara sda, Mr Amos Baga amejitolea damu kama sehemu ya kushiriki matendo ya huruma.
Bwana akubariki sana mtumishi.



No comments:

Post a Comment