MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL MAKONDA ASHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU LILILOANDALIWA NA WAUMINI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

 "Tulikuwa na ugeni mzito katika sabato ya leo ya matendo ya huruma, kwanza ni Katibu Mkuu wizara ya Afya Mh Dr. Mpoki, na Mkuu wa mkoa mh. Paul Makonda ambaye alikuwa mgeni rasmi. Katika risala yake alituasa kutoa damu kwa moyo kwani ni tendo la kuokoa maisha yetu wenyewe kwani mwenye damu hiyo (uhai) ni Mungu mwenyewe."Abraham Youze


No comments:

Post a Comment