MAMBO MUHIMU KATIKA NDOA

1.Ridhika na uliye naye 
2.Acha uzinzi 
3.Kuwa mvumilivu 
4.Fanya uzazi wa mpango sio kila mwaka FULL mtachakazana mapema 
5.Fundishaneni 
6.Epuka kutoa siri za ndoa zenu 
7.Acha mazoea na vijana ambao hawajaoa bali heshima 
8.Kelele hazitakiwi ktk ndoa yenu.
9.Mungu awe namba 1 katika ndoa yenu 
10.Kaeni pamoja palipo na nafasi epuka kumchunga mwenzio. 
 KWA WACHUMBA AU AMBAO WANAJIANDAA KUCHUMBIA AU KUCHUMBIWA mambo mhimu baadhi nieleze 1.Uwe na mambo mhimu ya kukufanya uoe au uolewe 
2.Acha uzinzi 
3.Uwe kijana unaeheshimika mtu asiudhalau ujana wako 
4.Acha urafiki au vikundi na wabaya isipokuwa kwa lengo la UINJIRISTI TU 
5.Kwa wadada unapochumbiwa omba kwanza baada ya muda ndo toa jibu sio kukubali tu utaolewa na makafiri(mashetani) 
6.Usimkatee mchumba kwa sababu zisizo eleweka 
7.Heshimu ndoa za watu kama ukoma maana haitanguliwi na mwanadamu yeyote labda kifo.HAYA NI BAADHI YA MAMBO MHIMU HII HUTEGEMEA UPANDE ULIOPO.BWANA AKUBARIKI.
Habari na Yohana Joseph Mwigulu

No comments:

Post a Comment