MKUTANO WA INJILI WA JUMA MOJA ULIOFANYIKA KATIKA SHULE YA KAPS WAFIKIA TAMATI, WANAFUNZI WA NANE WAMPOKEA KRISTO KWA KUBATIZWA


Mungu ashukuriwe kwa wanafunzi hawa nane ambao wamebatizwa  hapa shuleni kaps...hii ni baada ya kupitia darasa maalum la kujifunza biblia.
Mchungaji Mbuti alikuwa katika huduma ya ubatizo hapo jana.





No comments:

Post a Comment