Na kama ulikuwa hujapata taarifa za kambi hili hapa tunakupa taarifa na picha za kambi hili...
Eneo: VIWANJA VYA KANISA LA MBWENI BEACH
Muhutubu: Mch. ROBSON NKOKO, m/kiti Konferensi ya Nyanda za juu Kusini.
Motto: TUPATE BADIRIKO LA KWELI
Kwaya: SAUTI YA NYIKANI - SINZA
Kwaya ya Kanisa la Bunju |
Kwaya ya kanisa la Mbweni Beach |
Mch. Robson Nkoko |
Kwaya ya Sauti ya Nyikani Sinza |
No comments:
Post a Comment