KENYA: YULE ALIJIITA MUNGU JEHOVA, SASA CHIFU WA KAPSONGOR ATHIBITISHA KUWA JEHOVA WANYONYI AMEFARIKI KWA KUTOA CHETI CHA MAZISHI

Mjadala wa ikiwa jamaaa aliyejipa jina la mungu yaani Jehovah Wanyonyi alifariki au badi yuko hai limegonga mitandao na vyombo vya habari kwa wiki tatu mfululizo. Sasa naibu chifu wa eneo la Kipsomba Paul Kipkorir Bett amepasua mbarika kwa kusema kuwa aliwapa wanawe Jehovah Wanyonyi cheti cha kifo, baada ya marehemu kufariki alipokuwa akipelekwa hospitali ya wilaya ya Cherangany. Vilevile naibu huyo wa chifu akishirikiana na chifu wa eneo hilo Daniel Busienei wamesema kuwa jina halisi la Jehova Wanyonyi lilikuwa ni Michael Mwomboi. Frankli      .                     Je,unaamini kuwa Mungu yumo humu duniani na amejitokeza kwa sura ya binadamu akiwa tayari kuyahukumu mataifa? Basi iwapo kwako hilo ni la kushangaza basi hujakutana na "Jehovah mwenye enzi Mungu." Kwenye makala ya Mungu Wangu, mwanahabari wetu anasimulia alivyokutana na " Mungu Mtu" na hata kuhudhuria ibaada ya wanaomuabudu na kukiri kuwa huyo ndiye Mungu.

No comments:

Post a Comment