HIVI KUNGEKUWA NA KIINGILIO KANISANI AU MSIKITINI INGEKUWAJE?


Kuingia KANISANI NA MSIKITIN ni BURE, lakini MAJENGO haya  hayana WATU. Na kuingia  kwenye KUMBI ZA DISCO, TAARABU, DANSI. BAR, NA GUEST ni kwa MALIPO, Lakin kumbi bado  ZINAFURIKA WATU. Hivi kungekuwa na kiingilio KANISANI, au MSIKITIN ingekuwaje?
Ni kitu cha AJABU sana! Kuona Watu wapo tayari kuununua MOTO kwa FEDHA, na hawapo tayari kuingia MBINGUNI BURE. Kama umejaliwa kuwa na vocha wakumbushe watu wote, na usibague WAKRISTO wala WAISLAAM.



No comments:

Post a Comment