SEMINA YA UWAKILI YA SIKU TATU INAYOENDESHWA NA VIONGOZI KUTOKA JIMBO LA KUSINI MASHARIKI MWA TANZANIA KATIKA KANISA LA KIMANGA YAENDELEA MAPEMA LEO MCHANA

Mchungaji Sadick Lukinga Kutoka Jimbo la Kusini Mashariki mwa Tanzania akitoa somo la ujasiliamali kwenye semina ya siku tatu inayoendelea kanisani Kimanga mapema hivi leo
Kwaya kanisa la wasabato Kimanga ikihudumu kwenye semina ya siku tatu inayoendelea kanisani Kimanga mapema hivi leo

No comments:

Post a Comment