MOROGORO: WAIMBAJI WA KWAYA YA MBIU NA KIKUNDI CHA LIGHT BEARERS WAHUDUMU KWA NJIA YA UIMBAJI KATIKA MAHAFALI YA TATU YA KITADO CHA NNE SHULE SEKONDARI KITUNGWA

 Huduma ya uimbaji ni muhimu sana kwetu katika imani, ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe wa neno la MUNGU na watu humfuata Mwanakondoo kote aendako kwa njia hii. Waimbaji wa kwaya ya Kanisa la waadventista Wa Sabato Tandale, Mbiu na kikundi cha uimbaji toka Kanisa la Mwenge, Light Bearers walihudumu siku ya jana katika Mahafali ya tatu ya kidato cha nne ya shule ya sekondari ya Kitungwa inayomilikiwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato.

Kwaya ya Mbiu


Kikundi cha Light Bearers

No comments:

Post a Comment