KATIKA HITIMISHO LA MIKUTANO YA INJILI MKOANI MBEYA, IDADI YA WALIOBATIZWA YAFIKIA 467 HADI JANA

Mbeya: Watu 301 Wabatizwa tarehe 22/10/2016 na kufanya Jumla ya Watu 467 Waliobatizwa Katika Kuhitimisha Mikutano Ya Injili iliyo kuwa ikifanyika Toka Tarehe 03/10/2016 hadi 22/10/2016.
Mchanganuo wa Vituo 29 Vilivyo Fanya Ubatizo leo:1.Mbalizi-57. 2.Ikumbi-1. 3.Yerusalemu-4. 4.Iwambi-4. 5.Itiji-25. 6.Iziwa-1. 7.Imbega-4. 8.Ilolo-21. 9.Ikukwa-29. 10.Idimi-11. 11.Mwansekwa-4. 12.Iganzo-7. 13.Isanga-3. 14.Uyole-12. 15.Itezi-6. 16.Ushindi-5. 17.Iyela-5. 18.Nzovwe-15. 19.Forest-13. 20.Iwindi-13. 21.Mlimaleri-6. 22.Mtakuja-5. 23.Shigamba-21. 24.Songwe-5. 25.Wimba-1. 26.Ivumwe-4. 27.Ilemi-10. 28.Isyesye-5. 29.Ikulu-5. 
WACHUNGAJI WALIO HUDUMU:
1. Pr. Joseph Chengula-Alibatiza Mbeya Mjini
2. Pr. Samwel Baravuga-Alibatiza Iganzo, Ikukwe, na Idimi
3. Pr. Haruni Kikiwa-Alibatiza Namlonge, Mbalizi, na Shigamba.

Mikutano hii iliyo kuwa na Vituo 30 Katika Makanisa ya Mitaa ya Jiji la Mbeya Ilikuwa ikiendeshwa Chini ya Idara ya Ushapishaji ya Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini.
Kusema Kweli Kristo ameinuliwa sana. Ombea Roho hizi 467 ili BWANA aendelee kuzitetea sasa na Hata milele.
By. Mwanahabari wako Mchungaji Haruni Kikiwa Mchungaji wa Mtaa wa Mbalizi.

No comments:

Post a Comment