BORN TO PRAISE KUENDELEA NA HUDUMA YA INJILI KWA JIJI LA DAR ES SALAAM
Baada ya kutoka katika shughuli za kutengeneza video yao na kufanya huduma kwa jamii huko Shirati na pia kushiriki tamasha la uimbaji jiji Mwanza, waimbaji wa Born to Praise wameshiriki harusi mbili na effort moja na huko kote walihudumu kwa njia ya uimbaji kwani "wamezaliwa ili kusifu", fahamu mengi juu yao na habari za matukio yao kwa kubofya hapa >>>> BORN TO PRAISE FB PAGE
|
Born to Praise |
No comments:
Post a Comment