TUKIO LA IMBA KWA AKILI LAFANA, MAMIA YA WAIMBAJI NA WADAU WA MUZIKI WAFURAHIA MAANDALIZI


Moja kati ya yaliyofanyika katika tukio laleo ndani ya viimbajiiwanja vya Msasani Beach ni kufanya mazoezi ya uimbaji na kufanya video ya pamoja ambayo ilifanywa na studio za Msanii Records toka Kenya.
Hatua hii ni ya kwanza ya kufanya video ambayo itakuwa ni kwa ajili ya kushare na waimbaji wengine hasa kwenye mitandao ya kijamii na hatua ya pili ni kufanya audio na video ambazo zitakuwa rasmi kwa tukio la IMBA KWA AKILI.
Leo ilikuwa siku ya pekee kwa waimbaji na wadau wa nyimbo za injili kwa jiji la Dar Es Salaam na kulikuwepo watoa mada na wote walijikita katika kuimarisha namna ya kukuza uimbaji.
Picha na ZACK 









No comments:

Post a Comment