"NATARAJIA KUTOA ALBUM AUDIO YANGU NOVEMBA MWAKA HUU"- SAMWEL MWAZINI


Muimbaji wa nyimbo za injili Tanzania Samwel Mwazini ameongea na injilileo Blog amejibu haya juu ya kufanya nyimbo moja moja au single. Ameanza kujibu kwa kusema "Sio kwamba sina mpango wa kufanya album nafanya album na itakamilika, hizo nyimbo moja moja mzipokee naamini zitawabariki na Mungu akijalia nitazindua album mwezi Novemba mwaka huu 2016"- alisema Samwel na alisisitiza kuwa anamshukuru Mungu kwa mafanikio aliyoyafikia mpaka sasa. 
Samwel Mwazini

No comments:

Post a Comment