LESONI JUMANNE AGOSTI 30: MTAJI WA KIJAMII

“Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na neema kuliko fedha na dhahabu.” (Mithali 22:1). Ni kwajinsi gani dhana inayo oneshwa hapa inahusiana na jinsi tunavyo shuhudia na kuwafikia wengine? 

Nini “maana ya mtaji wa kijamii” wakati unapo wekeza katika akaunti ya benki thamani yake hukua. Mtaji wa kijamii hujumuisha uhusiano chanya na wenye faida kama pesa katika benki. Wakati unapo jenga maelewano mazuri na viongozi wa jamii, waulize ni nini yalio mahitaji ya jamii, tafuta ushauri kwao kwamba nini kifanyike kutatua matatizo hayo,Ikifuatiwa na utekelezaji wa mahitaji hayo,Kwa kufanya hivyo utakuwa unajenga na kukuza uhusiano mzuri nao.Huu ni mtaji wa kijamii, kila uzoefu chanya unao jenga pamoja nao ni kama uwekezaji katika uhusiano wenu, Mtaji wako wa kijamii huendelea kukua na kuongezeka thamani machoni pao.

Kanuni ya Kanisa hutukumbusha kwamba Waadventista Wasabato,”tunapaswa kutambuliwa kama raia wema…na kufanya mambo yaliyo mema”. “tunapaswa kuisaidia jamii kwa kutoa huduma zetu na vipato vyetu,kwa kadri inavyowezekana na kwa kufuatana na Imani zetu, nguvu zetu kwa ajili ya kudumisha utulivu wa kijamii na ustawi wake,” Huku tukidumisha misimamo thabiti ya haki na kweli katika mambo ya kijamii,”- Standard of Christian Living,” Uk.137,138.in the Seventh day Adventist Church Manual.( Hagerstown,Md.:Review and Herald Publishing Association,2010)
Katika nyongeza ya huduma ya Yesu duniani, maandiko hutupa mifano mingine ya kile ambacho kinaweza kutokea ikiwa watu wa Mungu watakuwa wamejipatia, “mtaji wa kijamii” Soma vifungu vifuatavyo vya maneno na ueleze uhusiano chanya ambao wahusika hawa katika Biblia walipata uzoefu wa kuwa pamoja na “watu wa nje” na ni nini kilichotokea kama matokeo? Matendo 7:9,10, Wagalatia 41:38-45,Danieli 2:46; 6: 1-3.

Kwa hakika,tusiwe na aina hii yay a visa vyenye mvuto kama hivi vilivyoonekana hapa.Lakini hiyo siyo hoja ya msingi, hawa watu walionesha uuthabiti wa tabia iliyo wavutia waliokuwa wamewazunguka-Ellen G.White alizungumza katika kitabu cha Patriarchs and Prophets uk.217,218,221 na katika Prophets and Kings, uk. 628 Anaelezea kwamb katika sifa walizokuwa nazo watu hawa wa Mungu ziliwafanya watu hawa waaminiwe na kupendwa na “wapagani”walio kuwa karibu nao ni :Upole.uaminifu, hekima, maamuzi mema, matajiri, tabia njema na uadilifu thabiti.

No comments:

Post a Comment