MAKAMBI 2016: TASWIRA YA LEO ASUBUHI KATIKA MAKAMBI YA MTAA WA MAGOMENI SDA, WAIMBAJI WA KWAYA YA NYEGEZI TOKA MWANZA WAMEANZA KWA HUDUMA YA UIMBAJI

Waimbaji wa Kwaya ya Waadventista Wa Sabato ya Nyegezi jijini Mwanza mapema leo asubuhi walikuwa katika huduma ya uimbaji ndani ya viunga vya kanisa la Magomeni sda na imepata kuimba nyimbo kadhaa ikiwemo wimbo "MARA NGAPI", kwaya hii imetokea Mwanza na iliwasili hapo ijumaa kwa mujibu wa Blog ya Mtangazaji Maduhu.
 Kwaya hiyo ambayo kwa sasa inatoleo lake jipya la Santuri Mwonekano iitwayo Utukuzwe itahudumu pia kwenye Makambi ya Mtaa wa Pugu juma moja lijalo,kabla ya kuja Dar es salaam waimbaji hao pia walishiriki kwenye makambi ya Mbauda jijini Arusha. 

Waimbaji wa Kwaya ya Waadventista Wa Sabato ya Nyegezi jijini Mwanza
Waimbaji wa Kwaya ya Waadventista Wa Sabato ya Nyegezi jijini Mwanza
Waimbaji wa Kwaya ya Waadventista Wa Sabato ya Nyegezi jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment