"KUFANYA MAPENZI HOLELA HAILIPI"- UNCLE CHRIS BUHATWA

  Na mwandishi wetu
Uncle Chris Buhatwa anayefahamika sana kwa mafundisho kwa vijana ambao hawajaingia kwenye ndoa, jana katika kambi la mtaa wa Manzese SDA alifundisha juu kuwa waaminifu kabla ya ndoa na akisisitiza kutofanya mapenzi holela hailipi wala haina faida kwani Mungu hapendi tabia hiyo.
Na huku akigusia sifa mbalimbali za kijana ambaye angefaa kwa mahusiano kwa upande wa vijana wa kike na wa kiume.
Kwa upande wa vijana wa kike wao ni watu wa kusikia maneno, hivyo ni muhimu kijana wa kiume anapokwenda kuongea nae kuandaa mazingira mazuri ili binti apate kuelewa. Na pia ni muhimu kwa vijana wote wakike na kiume kujipanga kifikra na kiuchumi wala sio suala la mtu mmoja.
Karibu kwenye kambi la Manzese SDA, karibu kwenye darasa la vijana. 




No comments:

Post a Comment