UMEFICHA MTUNGI GANI?

 Na Mwinjilisti Charles Masolwa Malunde wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba Mwanza Tanzania.
Kama binadamu tunaweza kuingia dhambini kwa sababu ya udhahifu wetu wa moyo, hakuna asiye na dhambi,
lakini Mungu wetu ni mwema sana, anasemhe dhambi kama ukitubu kwa dhati na kuamua kuziacha dhambi zake
• Matendo 5:1-6 Anania alikufa na mtungi wa uchoyo
• Yona 1:3,4 Yona alikaidi sauti ya Mungu

JE UNA MTUNGI wa:- usengenyaji? Uzushi, hutumii karama yako kwa kazi ya Mungu? Wivu, hasira, wizi,
ugomvi, tamaa mbaya? Uadui, uongo, uzinzi,fitina? Ungama na kuvunja mitungi yote.
“Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.”
Ivunje mitungi yote. Tukijisalimisha kwa Bwana naye atatupatia ua la upendo, furaha,Amani, uvumilivu, uaminifu, utu wema,upole
,kiasi na mambo mengine mengi yampendezayo Mungu.
Fanya tathmini ya maisha yako ugundue unamtungi wa aina gani.
Waumini na Wageni mbalimbali waliohudhuria ibada katika kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba Mwanza Tanzania, wakipata neno la Bwana kupitia Mwinjilisti Charles Masolwa Malunde> UMEFICHA MTUNGI GANI? FANYA TATHIMINI YA MAISHA YAKO
Mwinjilisti Charles Malunde akitoa neno la BWANA lenye kichwa kisemacho. UMEFICHA MTUNGI GANI?
Waumini na Wageni mbalimbali waliohudhuria ibada katika kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba Mwanza Tanzania, wakipata neno la Bwana kupitia Mwinjilisti Charles Masolwa Malunde
 habari/picha na Kirumba Seventh-day Adventist Church

No comments:

Post a Comment