JIPATIE SANTURI NAMBA 2 YA WAIMBAJI THE PEARL GATE SINGERS TOKA SEGEREA SDA, JINA LA ALBAM "NITAKASE EE BWANA" Thursday, December 03, 2015 PICHA NA EDGAR ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693*** You might also like: Ampicillin; Dawa za kutibu U.T.I (2)Usizitumie sanjari na ... FAHAMU SASA NINI MAANA YA SHEREHE ZA MIBARAKA YA BWANA YA ... KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 17 2014 VIDEO:TAZAMA EXCLUSIVE VIDEO YA WIMBO "BURE" TOKA KWA ... Linkwithin EAST-CENTRAL TANZANIA CONFERENCE YAPATA VIONGOZI WAPYA Thursday, December 03, 2015 NA HII NDIO LISTI FUPI YA VIONGOZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUONGOZAJESHI LA BWANA KATIKA KONFERENSI YA - ECT Mawasiliano (Pr William Izungo) Uwakili (Pr Jonas Singo) Uchapishaji (Pr Amos Lutebekela) Hii hapa ndio timu ya wanakamati waliokua wakishughulika na uchaguzi wa viongozi wapya wa ECT. PICHA NA East-Central Tanzania Conference' ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693*** You might also like: DAR ES SALAAM:MAJENGO DAY YAFANA KATIKA KANISA LA TEGETA ... VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA, OCTOBA ... UN KUSHIRIKIANA NA DRC KUWAONDOA FDLR WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JNSIA NA WATOTO YAWAPONGEZA ... Linkwithin ARUSHA: MAHAFALI YA 9 MWAKA 2015 YAFANA, NI YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA (UOA) Thursday, December 03, 2015 Mahafali ya Tisa (9 )ya mwaka 2015 katika Chuo kikuu cha Arusha. Mgeni Rasmi Dr Godwin Lekundayo ambaye ni Mwenyekiti wa NTUC na Mkuu wa Chuo hicho (katikati) aliyeshika Kipaza sauti, Makamu mkuu wa chuo Professor Emanuel Matiku (kushoto), Katibu Mkuu wa NTUC Mch.David Makoye ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya chuo (Kulia)wakiwa na viongozi wengine,wahitimu wageni waalikwa walihudhuria katika Tukio hilo. Picha/hababari na Northern Tanzania Union Conference You might also like: KWAHERI MAMA Mh. CELINA KOMBANI MAKAMBI 2015: KAMBI LA MTAA WA KIMARA, SOMO LA IBADA KWA ... SIKILIZA WIMBO WA KURASINI "NI HABARI NJEMA" YALIOJIRI LEO KATIKA AMBASSADOR DAY KANISA LA WASABATO ILALA Linkwithin MUHIMU: MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA USIMAMIZI WA MAKANISA YA WAADVENTISTA WA SABATO KUFANYIKA ARUSHA KWA SIKU 3, WAHI USIPITWE

TANGAZO
Ofisi ya katibu mkuu wa unioni konferensi ya kaskazini mwa Tanzania, inapenda kuwakaribisha katika semina ya mafunzo maalumu ya mfumo mpya wa kutunza kumbukumbu na usimamizi wa makanisa ya Waadventista wa Sabato unaofahamika kama ADVENTIST CHURCH MANAGEMENT SYSTEM (ACMS)
Mafunzo yatatolewa tarehe 08 - 10 Desemba 2015 katika kanisa la Waadventista wa Sabato Njiro Mkoani Arusha.
Makundi yafuatayo yanapaswa kuhudhuria:
1. Makarani wote wa makanisa mahalia katika unioni2. Wanateknohama(IT) wote katika makanisa mahalia
3. Wanateknohama( IT) wote wa Konferensi na taasisi za kanisa
4. Wachungaji wote wa mitaa
5. Wakurugenzi wote wa Idara ya mawasiliano katika unioni, konferensi na Taasisi.
6. Wasaidizi wote wa Makatibu wakuu wa unioni na konferensi,
7. Makatibu wakuu wa unioni na konferensi.

Wakufunzi:
1. Sherri Ingram - Mkurugenzi wa mfumo wa usimamizi wa kumbukumbu za kanisa la Waadventista wa Sabato Ulimwenguni.
2. Tom Ogal - Msaidizi wa Katibu Mkuu kanda ya Afrika Mashariki na Kati.
3. Haggai Abuto - Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kanda ya Afrika mashariki na Kati
Gharama zote za chakula, malazi, usafiri na bima zitakuwa chini ya kanisa au ofisi inayotuma mjumbe.
Tarehe ya kuwasili ni 7 Desemba 2015 na tarehe ya kuondoka ni 11 Desemba 2015.
Fomu ya usajili inapatikana kupitia http://bit.ly/2015NTUCACMSTraining
Barua rasmi ya mwaliko na ruhusa inapatikana kupitiahttp://bit.ly/2015ACMSTraining
Ni muhimu kila kanisa na ofisi za kanisa kutuma mjumbe ili kujifunza mfumo mpya wa kutunza kumbukumbu za kanisa na usimamizi wa makanisa ya Waadventista wa Sabato
Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu
Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania
+255 784 388190
acms@ntucadventist.org

No comments:

Post a Comment