ARUSHA: MAHAFALI YA 9 MWAKA 2015 YAFANA, NI YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA (UOA)


Mahafali ya Tisa (9 )ya mwaka 2015 katika Chuo kikuu cha Arusha. Mgeni Rasmi Dr Godwin Lekundayo ambaye ni Mwenyekiti wa NTUC na Mkuu wa Chuo hicho (katikati) aliyeshika Kipaza sauti, Makamu mkuu wa chuo Professor Emanuel Matiku (kushoto), Katibu Mkuu wa NTUC Mch.David Makoye ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya chuo (Kulia)wakiwa na viongozi wengine,wahitimu wageni waalikwa walihudhuria katika Tukio hilo.






No comments:

Post a Comment