WAKURUGENZI WALIOCHAGULIWA KUSIMAMIA IDARA MBALIMBALI ZA UNION YA KUSINI MWA TANZANIA KWA KIPINDI CHA MIAKA 5

Wakurugenzi waliochaguliwa kusimamia idara mbalimbali za Union ya Kusini mwa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ni 
1.Uchapishaji- Mch Robby Nyaibago
2.Shule ya Sabato,Huduma,Binafsi na AMR- Mch Filbert Mwanga
3.Vijana,Muziki,Elimu na Chaplensia- Mch Joseph D'zombe
4.Uwakili- Mch Stephen Ngusa
5.Afya,Watoto na wanawake- Dr Luth Eyembe
6.Mawasiliano- Mch Christopher Ungani








No comments:

Post a Comment