Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametolewa kuhusu Kanisa lilipo wala tukio lilitokea lini !!..
Mchungaji kabebwa juujuu kwenye kiti na
waumini huku anaendeleza ibada Kanisani… sijajua huu ulikuwa uamuzi wake
kufanya ibada kwa aina hiyo au alikuwa na tatizo jingine… Video hii
hapa..
No comments:
Post a Comment