Mchungaji
Stephen Letta hapo jana jioni ameandika katika ukurasa wa facebook
maneno hapa na kuweka picha mbalimbali za kutano hili.
"Mkutano
wa sesheni wa Union ya Kusini mwa Tanzania (STU) umeanza hapa Mwenge
kanisani jioni hii. Wajumbe rasmi wa mkutano huo wapatao 89 kutoka
konferensi tatu za Union hii, taasisi za Union, ofIsi kuu ya Union na
ofisi kuu ya Divisheni wameanza kuingia. Mkutano utazinduliwa rasmi
kesho asubuhi na viongozi wa Divisheni"-Stephen Letta
No comments:
Post a Comment