Mara
nyingi katika maisha watu wengi hasa tuliopata maendeleo na huku tuko
kwenye imani,tumekuwa tukiona aibu kulitangaza jina la Bwana,leo
tumekusogezea ushuhuda huu aliouweka mtumishi wa Bwana Dr.Jimmy Yohazi
katika ukurasa wa Facebook kwenye group la kanisa la Mwenge sda
aliandika hivi;-
"Nilikuta
vitabu vya Tumaini Kuu kwenye Hoteli ya Victoria Palace Mwanza.
Nikaambiwa kwamba mmiliki wa hoteli hii ni Muadevtista Msabato. Anafanya
uinjilisti kwa kutumia vitabu hivi kwa kuviweka katika kila chumba.
Mgeni anayependa, anaruhusiwa kuchukua na kuondoka nacho. Mkakati
mzuri."
HABARI/PICHA NA JIMMY YONAZI &INJILI LEO BLOG
No comments:
Post a Comment