VIDEO YA LEO: VEGA CAPELLA - NAKUHITAJI BWANA

Kutoka injilileoTV, tazama na sikiliza wimbo wa Nakuhitaji Bwana kutoka kwa kikundi cha Vega Capella.
Kikundi hiki kinapatikana katika jiji la Dar es Salaam hapa nchini Tanzania na sehemu kubwa ya waimbaji ni wanafunzi katika chuo cha usimamizi wa Fedha, IFM.
Karibu na Ubarikiwe na wimbo huu...

No comments:

Post a Comment