MAKAMBI 2015:MAKAMBI MTAA WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KIGAMBONI YAFIKIA TAMATI HUKU WATU 33 WAKIMPOKEA BWANA KWA UBATIZO
Ni
katika mkutano wa makambi kigamboni SDA yaliyomalizika tarehe 22/8/2015
yaliyokuwa yakiendeshwa na PR Mwakalonge huku watu 33 wakiwa
wamebatizwa katika makambi haya.
No comments:
Post a Comment