Kutoka
injilileoTV, kutana na Mch. Magulilo Mwakalonge, Mwenyekiti wa Union ya
Kusini mwa Tanzania yenye makao makuu yake Tegeta jijini Dar es
Salaam, akitoa hotuba katika makambi ya mtaa wa Magomeni mwaka huu wa
2015.
Hotuba
ilijengwa juu ya kichwa kisemacho Urithi mtakatifu huku akisisitiza juu
ya maelezi ya watoto na akisisitiza wazazi na walezi kuacha urithi
mtakatifu kwa watoto wao mara tu watakapokuwa wametoweka katika
ulimwengu huu.
Karibu na UUbarikiwe na Somo hili...
No comments:
Post a Comment