MAKAMBI 2015: KIPINDI CHA SHULE YA SABATO ASUBUHI YA LEO KWENYE KUHITIMISHA KAMBI LA MTAA WA KIMARA

Ibada ya kufunga kambi la Kimara asubuhi hii inaendelea na kipindi cha Shule ya Sabato kimepita mda sio mrefu ambapo kumekuwa na huduma kama vile;-somo la ukuzaji,taarifa na somo la nchi za mbali zikiletwa na washiriki wa makanisa yanayounda mtaa wa Kimara.

Erasto Msemwa alihudumu kwa nafasi ya mwenyekiti wa kipindi cha Shule ya Sabato.
Magreth Daudi alihudumu kusoma taarifa ya shule ya Sabato iliyopita.
Boniface Mafuru alihudumu somo la ukuziaji.
Sifael Justus alihudmu somo la nchi za mbali.

No comments:

Post a Comment