MAKAMBI 2015: IBADA YA LEO ASUBUHI NI KUHITIMISHA SHEREHE ZA VIBANDA (KAMBI) LA MTAA WA KIMARA 2015

Ibada hii imetanguliwa na somo la kujifunza lessoni kwa darasa la walimu na badae kukafatiwa na kipindi cha uimbaji ambapo kwaya za mtaa wa Kimara yani Kimara na King'ongo pamoja na kwaya alikwa toka Kihonda zimehudumu asubuhi hii.

Kwaya ya Kanisa ya Kihonda SDA walihudumu pia kwa njia ya uimbaji asubuhi ya leo kwenye kipindi cha uimbaji.
Kwaya ya Kanisa la Kimara ilihudumu katika kipindi cha uimbaji asubuhi hii kwenye kambi la Kimara 2015 ikiwa ni siku ya kuhitimisha kambi hilo.
Kwaya ya Kanisa la Kimara ilihudumu katika kipindi cha uimbaji asubuhi hii kwenye kambi la Kimara 2015 ikiwa ni siku ya kuhitimisha kambi hilo.
Kwaya ya vijana ya Kanisa la Kimara waliimba mapema asubuhi hii ya leo katika kipindi cha uimbaji.
Kwaya ya Kanisa la King'ongo wakiwa  katika huduma ya kuimba asubuhi ya leo ni katika viwanja vya Kanisa hilo King'ongo jijini Dar Es Salaam.

Kwaya ya Kanisa la King'ongo wakijiandaa kuimba asubuhi ya leo ni katika viwanja vya Kanisa hilo King'ongo jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment