Pr.
Amoni Januari Sikazwe Mchungaji Mpya wa Mtaa wa Ruanda Akiongea na
Kanisa la Mbeya kati mara baada ya Kutambulishwa rasmi Hii leo kama
Mchungaji wa Mtaa wa Ruanda wenye makanisa Matano (Mbeya Kati, Ikulu,
Ilemi, Isyesye, na Ivumwe).
Mchungaji huyu ni mchungaji aliye wekewa mikono kwa huduma za kichungaji.
Mchungaji huyu amekuja Kupokea Mtaa Kutoka kwa Pr. Petro Muganda aliye hamia Mtaa wa Sadani Huko mkoani Iringa.
Mchungaji Sikazwe ametoka Chuo kikuu cha Bugema kilichoko nchini Uganda
baada ya kuhitimu Shahada ya kwanza ya Theologia aliyo kwenda kuichukua
baada ya kufanya kazi kwa miaka 18 na kuwa na uzoefu mkubwa.
Picha/habari na Haruni Kikiwa
No comments:
Post a Comment