USHAURI: VIJANA SASA INATOSHA SIO TUNAPENDA KUIMBA, KUSIKILIZA MAHUBIRI HATUTAKI, MUDA WA MAHUBIRI TUNASINZIA AU TUNACHATI WASAP NA FACEBOOK

 VIJANA WENZANGU INATOSHA!
Inatosha Kabisa Sisi Vijana Unafiki Tunaoendekeza Kanisani
>watu Kuunda Tuvikundi Mbalimbali Vya Uimbaj, mara kikundi hiki mara kile Wakat Ndani Yake Wanataka Tu Kuonekana, Na Ndani Yake Yamejaa Mashindano Na Roho Ya Uzinzi, Na Ukifika Wakat Wa Mahubiri Wengi Hutoka Nje Au Kusinzia Tu, Hata Asiposinzia Yeye Ni Kubonya Cmu.INATOSHA Tubadilike
>kumiliki Simu Kubwa, Na Mavaz YaThaman Lakn Unakakosa Biblia,lesson Na Vitabu Vya Nyimbo Kwa Madai Eti Yapo Ndan Ya Cm, Wakat Kanisan Unaishia Kuingia Fb Au Wasap Tu INATOSHA Tubadilike
>wengine Kuwa Nakabiblia Kadogo Nako Kaagano Jipya Tu Na Anakaweka Mfuko Wa Nyuma Na Mpaka Anarud Hakasomi Maana Ni Aibu. Sasa INATOSHA
>Na Wengine Wana Biblia,lesson,nk Lakn Hawasomi Leson Wanachangia Kiuzoefu Unafik Kama Huo INATOSHA!
>Kupenda UimbajNa Mikusanyiko Ya VijanaTu, Wakat Kaz Za Kanisa Hatujitoi Pamoja Nakutotoa Zaka, Lakn Changizo Lakutoa CdYenu Mnatoa HataLak 3 INATOSHA
>japo Sio Wote MUNGUWANGU AMBAYENDIYE MUNGWENU AWABARIKI

No comments:

Post a Comment