SONDA YA DIHLU WALIPATA CHANGAMOTO YA FEDHA KUTENGENEZA ALBAM YA PILI, LAKINI IKAWA NI FULSA YA KUPATA KITU KIZURI SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA WIMBO "HALELUYA" WA ALBAM YA PILI

 Kwenye kila mafanikio changamoto hazikosi, waimbaji wa Sonda ya Dihlu wakati wa kutengeneza album yao ya pili walipata changamoto ya kifedha ambayo iliwapelekea kukosa fursa ya kwenda studio na kuifanya kazi hiyo.
Ilionekana changamoto lakini kwa upande mwingine ilikuwa ni fulsa.
                                                     ------------------------------------
  Bwana ni mwema kwani mmoja wa waimbaji wao ambaye ndiye anasolo nyimbo karibia zote, Mr Isaya alikuwa na studio ndogo ya nyumbani na wala haikuwa na vifaa vya kisasa lakini maajabu ni kwamba kazi ilitoka vizuri nakala nyingi sana zilinunuliwa na Bwana akainuliwa.

 ISIKILIZE AUDIO YA HALELUYA HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment