Endelea kufuatana nasi ili ujifunze kitu.
![]() |
Kibao kinachoonesha nyumba aliyoishi mama Ellen na mume wake James White mwaka 1856-1863 |
![]() |
| Nyumba waliyoishi wawili hao |
![]() |
| Kitanda alichokuwa akilalia enzi za uhai wake |
![]() |
| Meza na kiti alichokuwa akitumia kuandikia njozi alizokuwa akipokea |
![]() |
| Kalamu na taa aliyokuwa akitumia katika kuandika |
![]() |
| Meza na taa yake |
![]() |
| Baadhi ya maandishi yake kabla hayajachapishwa kuwekwa katika vitabu. picha zote na Amusir Solutions Media. |







No comments:
Post a Comment