WACHUNGAJI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO JIMBO LA MASHARIKI KATI MWA TANZANIA WABADILISHIWA VITUO VYAO VYA KAZI

Jimbo la Mashariki kati mwa Tanzania la kanisa la waadventista wasabato limetangaza mabadiliko la vituo vya kazi kwa wachungaji wake  22 walio ndani ya Jimbo hilo.
Mkurugenzi wa Idara ya mawasiliano wa jimbo hilo Mchungaji Andrew Izungo amesema kuwa mabadiliko hayo  yametokana na kikao cha Mwisho wa Mwaka cha kamati kuu ya Jimbo  ya mashariki kati mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato (ECT)
Mchungaji Izungo amewataja waachungaji hao kuwa ni pamoja na;
Pr.Shauri-Kondoa,
Pr.Martinus-Mlali,
Pr.Manyasi-Pwaga,
Pr.Bunga-Mpwapwa,
Pr.Shayo-Kitungwa,
Pr.Kibasisi-Gairo,
Pr.Lawi-Kilosa,
Pr.Imani-Mikese,
Pr.Shashnale-Ifakara,
Pr.Bigambo-Kunduchi,
Pr.Moses - Bunju,
Pr.Charles Mjema -Mwenge,
Pr.Stephen Letta-Tegeta,
Pr.David Mbaga-Dodoma,
Pr.Bomani-Kizota,
Pr.Ombeni-Kirombelo,
Pr.Methsela (mpya)-Malinyi.
Pr.Saguda-Mkimbira,
Pr.Nzotta Imanuel - Mlimba,
Pr.Masunya-Kinondoni,
Pr.Kibaso-Jamaica,
Pr.Petro Mganda-Morogoro Mjini
You might also like:

No comments:

Post a Comment