WAADVENTISTA WA SABATO WATOA FARAJA KWA WAFIWA SIKU YA MAZISHI YA WACHEZAJI 71 WALIOFARIKI DUNIA KWA AJARI YA NDEGE NCHINI COLOMBIA

Na Andrew McChesney 




Waadventista Wasabato walijiunga ya maelfu ya watu katika uwanja wa Chapecoense  Brazil kuomboleza wale waliouawa katika ajali ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa mpira wa soka, na kushiriki matumaini yao katika ufufuo wa wafu pale Yesu anaporudi Mara ya Pili.Jumla ya watu 71 walikufa wakati ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Chapecoense na kupata hitirafu Novemba 28 karibu na Medellin, Colombia. Watu sita walinusurika. ndege iliishiwa ya mafuta muda mfupi kabla ya ajali. Majeneza kadhaa yaliwasili katika uwanja wa timu ya nyumbani wa Chapeco, mji wenye watu 210,000  kusini mwa Brazil siku ya Jumamosi.Washiriki wa kanisa walisimama katika mvua kusambaza maelfu ya nakala za kitabu "Only Hope" - "Tumaini Pekee" na muinjilisti wakiadventista Alejandro Bullon alifundisha kama vile lebo ya kwenye chupa ya maji ilivyokuwa imeandika ahadi ya Ufunuo 21: 4, "Na Mungu atafuta kila chozi katika macho yao;kutakuwa na kifo tena, wala maombolezo, wala kilio. Kutakuwa na maumivu tena, kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita "(NKJV)."Ilikuwa ni mvua, lakini maelfu ya washiriki wa kanisa walitoka nje na vitabu, maji, na kadi na kuvigawa," alisema Magdiel E. Pérez Schulz, msaidizi wa rais wa kanisa la Wasabato dunia, ambaye amekuwa akiwasiliana na washiriki wa kanisa kanisa mahalia."Washiriki wa kanisa pia wakaomba pamoja wale wanaohudhuria mazishi na kupata kukumbatiana kwa ishara ya matumaini."
 Habari kamili BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment