MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA APATA UAMISHO KWENDA MBEYA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL

Mchungaji Haruni N.E Kikiwa Aliye kuwa Mchungaji wa Mtaa wa Mbalizi Jana amehamia Mbeya Adventist Secondary Shool Kama Chaplain.
Aidha Taarifa hiyo Ya Uhamisho imetolewa Jana  Tarehe 07/11/2016 Kupitia Ofisi ya Katibu mkuu wa Conference ya Nyanda za Juu Kusini Kama Matokeo ya Available Conference Executive Members Meeting /Kikao cha Kamati kuu ya Conference cha Wajumbe waliopo Kilicho keti Tarehe 03/11/2016.
Mchungaji Haruni N.E Kikiwa Tayari amesha Report Katika kituo Chake kipya cha jana Jioni  Tarehe 07/11/2016.
Tafadhari Muombee Mchungaji huyu ambaye Tayali  amemaliza kazi yake Katika Mtaa wa Mbalizi Mbeya Imekwisha na kama Mungu alivyo Muongoza kwa kazi yake Mbalizi Amuongoze pia katika kituo hiki cha Elimu.
You might also like:

No comments:

Post a Comment