VIDEO: MNENAJI MKUU WA KAMBI LA KIMARA 2016, MCHUNGAJI WILLIAM BAGAMBE AFUNDISHA JUU YA KISA CHA "KIJANA TAJIRI" ASEMA LOLOTE ATAKALOTUAMBIA BWANA TULIFANYE

Mchungaji na mkurugenzi wa Uwakili toka Divisheni ya mashariki na Kati wa Afrika (ECD) Mch. William Bagambe alifundisha juu ya suala la kufanya na kusikia yote ambayo Mungu husema juu yetu. Huku akifafanua toka kwenye kisa cha biblia, alisimulia kisa cha kijana aliyekuwa tajiri ambaye alikosa tuu kujua ni nini afanye ili apate kuurithi uzima wa milele lakini kijana alipoambiwa suala la kuuza vyote na kuwapa masikini, alisikitika na hakupenda tena habari za ufalme huo
            

No comments:

Post a Comment