MBEYA: KAMBI LA MITAA YA MBALIZI NA IZUMBWE LINALOFANYIKA KATIKA ENENO LA MBALIZI LIMEFUNGULIWA RASMI JULY 31,2016 NA MCHUNGAJI WA MTAA WA MBALIZI MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA

MBALIZI MBEYA: Kambi la Mitaa ya Mbalizi na Izumbwe ninalo fanyikia eneo la Mbalizi Mkoani mbeya limefunguliwa Rasmi 
Tarehe 31/07/2016 Na Mchungaji wa Mtaa Pr. Haruni Kikiwa kwa Somo kutoka Luka 15:17 "Alipo nzingatia Moyoni mwake"
Kambi hili limeanza Tarehe 31/07/2015 hadi Tarehe 06/08/2015
MOTO WA KAMBI: NIWAKATI WA KURUDI NYUMBANI
FUNGU KUU: WAFILIPI 3:20
WIMBO MKUU: 118 "NILIPOTOKA KABISA SASA NARUDI"
Wangeni wa kambi Wote wamesha fika nao ni:
Pr. Godlove K Kaduma-Mchungaji wa Shule ya MASS
Pr. Christopher Tanda Mkama-Mchungaji wa Mtaa wa Njombe
Kwa upande wa Watoto
Master Guide. Asegelile Asajile Mwakibete-Toka Igulusi Mtaa wa Usangu na Master Yohana Mbilinyi-Toka Ubaluku Mtaa wa Usangu.








By Mwana habari wako Mchungaji Haruni Kikiwa Mchungaji wa Mtaa wa Mbalizi.

No comments:

Post a Comment