MAKAMBI 206: KARIBU MAKAMBI YA MTAA WA TEGETA

 Kambi la mtaa wa Tegeta sda linaendelea na linafanyikia katika kanisa la Bunju. Ukiwa mawasiliano, mawasiliano na makumbusho panda gari la Bunju kituo ni Bunju Shule utaona Bango uliza Kanisa la Bunju SDA.
Makambi haya yameanza tarehe 6- 13, 2016 na wahudumu wa kambi ni;-
  • Mch. Benard Mambwe- Mwenyekiti wa Konferensi ya Magharibi mwa Tanzania
  • Joseph Mngwabi- Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki kati mwa Tanzania
  •  Mch. Deusi Mafuru kutoka mtaa wa Dodoma
 Mtaa wa Tegeta unaundwa na makanisa yafuatayo;- Tegeta, Bunju, Mbweni Beach na Tegeta Beach.
Kwaya za mtaa huo zitahudumu pamoja na kwaya ngeni kutoka kanisa la Kijichi. 

No comments:

Post a Comment