MAKAMBI 2016: TASWIRA YA MAKAMBI YA MTAA WA MANZESE SIKU YA JUMATANO

Kwaya ya vijana Manzese Sda katika kipindi cha uimbaji walipata fursa ya kuhudumu kwa njia ya nyimbo.
Kwaya ya kanisa ya Nyahanga sda toka Nyahanga Kahama Shinyanga walihudumu nao katika kipindi cha uimbaji hapo jana.
Kwaya ya kanisa ya Nyahanga sda toka Nyahanga Kahama Shinyanga walihudumu nao katika kipindi cha uimbaji hapo jana.

Kwaya ya wana wake toka kanisa la Tandale sda walihumu kwa njia ya uimbaji katika makambi ya mtaa wa Manzese sda.
Marafiki wa nguvu katika makambi nao walikuwepo, Weisiko akiwa na baby

No comments:

Post a Comment