JIMBO KUU KASKAZINI MWA TANZANIA LA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO (NTUC)-RATIBA YA SESHENI YA PILI MWAKA 2015,KUCHAGUA WATENDAKAZI WAPYA.

Ifuatayo ni Ratiba ya Muda, Tukio na Wahusika wa Mkutano wa Pili wa Sesheni mwaka 2015.Mkutano utafunguliwa tarehe 8 Septemba 2015 siku ya Jumanne jioni na Kufungwa tarehe 10 Septemba 2015 siku ya Alhamisi Jioni.
NA GIDEONI MSAMBWA
Ratiba ya Sesheni 2015.by Injili Leo

No comments:

Post a Comment