MAKAMBI 2015: UTAMBULISHO WA WACHUNGAJI KWENYE KAMBI LA KIMARA MCHANA HUU

Kambi la mtaa wa Kimara lilianza tarehe 1 Agosti na siku ya leo ni hitimisho ya kambi hili na huu ndio utambulisho wa wachungaji waliohudumia kambi hili tangu mwanzo wa kambi hadi mwisho.

Kushoto ni Mchungaji M. Wanjara ambaye amekuwa katika kambi hili kwa nafasi ya masomo ya vijana na vipindi vya maofisa wa kanisa na kulia ni mke wa Mchungaji  ambaye ni Esther M. Wanjara.
Mchungaji W. Manyasi alijitambulisha amekuwa pia akihudumu kwenye kipindi cha masomo makuu na kipindi cha ndoa.
Kushoto ni Mhutubu mkuu wa mkutano wa kambi la Mtaa wa Kimara Robson Nkoko na kulia ni mke wake Martha R. Nkoko.
Kushoto ni Mchungaji wa mtaa wa Kimara na akiwa na familia yake na anayefuata ni Mke wake wanaofuata ni watoto wake.

No comments:

Post a Comment