SONDA YA DILHU YABARIKI WATU KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA SHUJAA WA NCHI


Kundi la uimbaji wa muziki usiotumia ala Acapella, Sonda ya Dilhu limepata nafasi ya kuimba mbele ya wageni walioudhuria katika tukio la utoaji tuzo kwa watu walionekana mashujaa waliojitoa muhanga katika kutetea mambo ya nchi bila hofu.
Tuzo hizo ambazo zilikwenda kwa watu watatu, David Kafulila, MB, Said Kubenea na Vicky Ntetema wote waandishi wa habari zilitolewa na Mzee Jaji Mark Bomani katika ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment