(20 Job Openings), ambapo kati ya nafasi hizo 20, nafasi saba (07) ni za Polisi.
Maofisa
na Wakaguzi wenye sifa, wafuate vigezo vilivyotolewa kuhusu ujazaji wa
fomu hizo za wasifu (PHP/P-11), inazingatiwa zaidi kuonyesha ipasavyo
(description) namna wahusika walivyotekeleza majukumu yao na madaraka
waliyoshika huko nyuma. Hii ni kwa sababu ajira ya UN uzoefu wa
mwajiriwa (competency-based).
Fomu zitakazojazwa ziwe kwenye format ya pdf na kisha zitumwe kwa barua pepe ya utawala: utawala.phq@gmail.com.
Fomu za kujaza
No comments:
Post a Comment