Dr. Julius Nyasongo akitoa Somo la afya kipindi cha mchana. |
Waimbaji toka kikundi cha Born to Praise walihudumu pia |
Waimbaji toka kikundi cha Born to Praise walihudumu pia. |
Mchungaji David Mbaga alikuwa mhubiri siku ya majengo kanisani Tegeta sda. |
Kwaya ya Kanisa la Tegeta wakiimba |
Jana tulikuwa na Sabato nzuri ambayo ilikuwa maalum kwa ajili ya Majengo kanisani (Majengo Day). Katika siku hii tumebarikiwa na kikundi cha uimbaji cha Born to Praise pamoja na kwaya ya Kanisa letu na kwaya ya kundi la Tegeta Beach. Mhudumu katika siku hii alikuwa ni Pr. David Mbaga. Mungu aliongoze kanisa letu katika kuzitekeleza njozi kubwa Tulizo nazo.
No comments:
Post a Comment